Mara baada ya kupata Uhuru wa Bendera, Mwl. Julius Nyerere alielekeza nguvu katika Uhuru wa Fikra maana aliamini bila Ukombozi wa Fikra, watanzania wataendelea kuishi utumwani. Kwahiyo akapeleka vijana…
Kwahiyo nimekuandikia kitabu hiki walau kikusaidie kufungua ubongo na kuanza kufikiri mambo makubwa kama wanavyofanya waliofanikiwa katika kila kitu. Donald Trump anasema, “Watu wengi hufikiria mambo madogo kwa sababu…
Unapoambiwa Afrika ni Bara la Giza usikubali kizembe na kujiona mnyonge. Afrika haikuwa Bara la Giza. Kama watu wenye akili kubwa kuliko watu wote duniani walitoka Afrika tunakuaje Bara…
Reviews
There are no reviews yet.