-
DENIS MPAGAZE FULL PACKAGE (8 E-BOOKS)TZS40,000.00
Mtegemea vya nduguye hufa maskini na vya kupewa hulemaza akili ni methali zinazotukumbusha kwamba utegeaji katika maisha haufai; ni sawa na kupumua kwa kutumia pua ya mwenzako. Hakiwezekani. Kufanya…
-
DENIS MPAGAZE PACKAGE (5 E-BOOKS)Original price was: TZS25,000.00.TZS10,000.00Current price is: TZS10,000.00.
Jamii yetu imewachoka wasomi. Inawasema vibaya! Wasomi hawaheshimiki tena kama zamani. Eti wasomi wa siku hizihamna kitu. Yaani ni Tabula rasa. Ajabu sana. Mtu ametumia takribani nusu ya maisha…
-
FUNGUA UBONGO -DENIS MPAGAZETZS5,000.00
Kwahiyo nimekuandikia kitabu hiki walau kikusaidie kufungua ubongo na kuanza kufikiri mambo makubwa kama wanavyofanya waliofanikiwa katika kila kitu. Donald Trump anasema, “Watu wengi hufikiria mambo madogo kwa sababu…
-
MAISHA NI KUTAFUTA SIYO KUTAFUTANA -DENIS MPAGAZETZS5,000.00
Mtegemea vya nduguye hufa maskini na vya kupewa hulemaza akili ni methali zinazotukumbusha kwamba utegeaji katika maisha haufai; ni sawa na kupumua kwa kutumia pua ya mwenzako. Hakiwezekani. Kufanya…
-
MIAMBA YA AFRIKA -DENIS MPAGAZETZS5,000.00
Unapoambiwa Afrika ni Bara la Giza usikubali kizembe na kujiona mnyonge. Afrika haikuwa Bara la Giza. Kama watu wenye akili kubwa kuliko watu wote duniani walitoka Afrika tunakuaje Bara…
-
UKOMBOZI WA FIKRA -DENIS MPAGAZETZS5,000.00
Mara baada ya kupata Uhuru wa Bendera, Mwl. Julius Nyerere alielekeza nguvu katika Uhuru wa Fikra maana aliamini bila Ukombozi wa Fikra, watanzania wataendelea kuishi utumwani. Kwahiyo akapeleka vijana…
-
UKOMBOZI WA FIKRA ZA MWAFRIKA -DENIS MPAGAZETZS5,000.00
Hili janga la uvivu wa kufikiri linaloitafuna Afrika usidhani lilitokea kwa bahati mbaya. Ni mpango mahususi ulioandaliwa na Mzungu kuhakikisha mwafrika haishi kwa akili bali kwa nguvu na imani…
-
VIONGOZI WA AFRIKA -DENIS MPAGAZETZS5,000.00
Wahenga waliposema , “Vijana wanambio, wazee wanajua njia,” nilijiuliza kama wazee wanajua njia mbona wameipoteza Afrika? Maana Afrika inaviongozi wengi wazee. Baada ya tafakuri ya kina nikabaini unapokuwa kiongozi…
-
WASOMI HURU GEREZANI – DENIS MPAGAZETZS5,000.00
Jamii yetu imewachoka wasomi. Inawasema vibaya! Wasomi hawaheshimiki tena kama zamani. Eti wasomi wa siku hizihamna kitu. Yaani ni Tabula rasa. Ajabu sana. Mtu ametumia takribani nusu ya maisha…