-
-
DENIS MPAGAZE PACKAGE (5 E-BOOKS)Original price was: Sh25,000.00.Sh10,000.00Current price is: Sh10,000.00.
-
FAHAMU YA NDOA KABLA YA NDOASh6,000.00
Mapenzi kabla ya ndoa huwezi kuyakuta ndani ya ndoa. Ndani ya ndoa utakutana na mambo tofauti kabisa. Tena mengine ni ya ajabu kweli. Unajua kwa nini? Mapenzi kabla ya…
-
FUNGUA UBONGO -DENIS MPAGAZESh5,000.00
Kwahiyo nimekuandikia kitabu hiki walau kikusaidie kufungua ubongo na kuanza kufikiri mambo makubwa kama wanavyofanya waliofanikiwa katika kila kitu. Donald Trump anasema, “Watu wengi hufikiria mambo madogo kwa sababu…
-
MAISHA NI KUTAFUTA SIYO KUTAFUTANA -DENIS MPAGAZESh5,000.00
Mtegemea vya nduguye hufa maskini na vya kupewa hulemaza akili ni methali zinazotukumbusha kwamba utegeaji katika maisha haufai; ni sawa na kupumua kwa kutumia pua ya mwenzako. Hakiwezekani. Kufanya…
-
MIAMBA YA AFRIKA -DENIS MPAGAZESh5,000.00
Unapoambiwa Afrika ni Bara la Giza usikubali kizembe na kujiona mnyonge. Afrika haikuwa Bara la Giza. Kama watu wenye akili kubwa kuliko watu wote duniani walitoka Afrika tunakuaje Bara…
-
UKOMBOZI WA FIKRA -DENIS MPAGAZESh5,000.00
Mara baada ya kupata Uhuru wa Bendera, Mwl. Julius Nyerere alielekeza nguvu katika Uhuru wa Fikra maana aliamini bila Ukombozi wa Fikra, watanzania wataendelea kuishi utumwani. Kwahiyo akapeleka vijana…
-
UKOMBOZI WA FIKRA ZA MWAFRIKA -DENIS MPAGAZESh5,000.00
Hili janga la uvivu wa kufikiri linaloitafuna Afrika usidhani lilitokea kwa bahati mbaya. Ni mpango mahususi ulioandaliwa na Mzungu kuhakikisha mwafrika haishi kwa akili bali kwa nguvu na imani…
-
VIONGOZI WA AFRIKA -DENIS MPAGAZESh5,000.00
Wahenga waliposema , “Vijana wanambio, wazee wanajua njia,” nilijiuliza kama wazee wanajua njia mbona wameipoteza Afrika? Maana Afrika inaviongozi wengi wazee. Baada ya tafakuri ya kina nikabaini unapokuwa kiongozi…
-
WASOMI HURU GEREZANI – DENIS MPAGAZESh5,000.00
Jamii yetu imewachoka wasomi. Inawasema vibaya! Wasomi hawaheshimiki tena kama zamani. Eti wasomi wa siku hizihamna kitu. Yaani ni Tabula rasa. Ajabu sana. Mtu ametumia takribani nusu ya maisha…