Curriculum
- 3 Sections
- 37 Lessons
- Lifetime
- SEHEMU YA KWANZA11
- 1.0Utangulizi Elimu ya Fedha.
- 1.1Pesa ni nini?
- 1.2Pesa huwa zinajificha wapi?
- 1.3Kanuni za matumizi ya Pesa
- 1.4Njia nne (4) za kupata Pesa kirahisi
- 1.5Vyanzo vya Umasikini
- 1.6Tabia zinazopoteza Pesa
- 1.7Matumizi sahihi ya Pesa
- 1.9Jinsi ya kuepuka maisha ya Madeni
- 1.10Elimu ya kuongeza Pesa Ulizonazo
- 1.11Hitimisho: Elimu ya pesa Part 1
- SEHEMU YA PILI11
- 2.1Hatua Tano: Jinsi Ya Kupata Pesa Za Wazo Lako La Biashara
- 2.2Mambo 3 Ya Kufanya Ili Kufanikisha Wazo Lako
- 2.3Njia Nne Za Kutengeneza Pesa
- 2.4Mambo Matatu (3) Unayohitaji ili Kufanikiwa Kibiashara
- 2.5Njia 3 Za Kujua Biashara Inayokufaa
- 2.6Mwongozo Wa Bajeti
- 2.7Njia Nne (4) Za Kukuza Biashara Yako
- 2.8Jinsi Ya Kufanya Vikao Vyenye Ufanisi
- 2.10Jinsi Ya Kutoa Huduma Nzuri Kwa Wateja
- 2.11Sifa Za Mtoa Huduma Kwa Wateja
- 2.12Tabia Za Wateja Wakati Wa Kutafuta Huduma/Bidhaa
- SEHEMU YA TATU15
- 3.0Je,Ufanye biashara gani? 1
- 3.1Je,Ufanye biashara gani? 2
- 3.2Je,Ufanye biashara gani? 3
- 3.3Je,Ufanye biashara gani? 4
- 3.4Je,Ufanye biashara gani? 5
- 3.5Kwanini watu wanaingia kwenye madeni?
- 3.8Tabia Hatarishi Kwenye Biashara
- 3.9Uaminifu kama mtaji
- 3.11Tengeneza Thamani Yako
- 3.12Vyanzo Vya Matatizo Ya Kifedha
- 3.13Je,Kesho Utakuwa Wapi?
- 3.14Ufanye Nini Ukipoteza Mtaji?
- 3.15Aina ya Mitazamo Kwenye Biashara
- 3.17Namna ya Kukuza biashara yako
- 3.18Jenga Mtandao (Networking)
Ukichunguza watu wengi sana ambao wamepata wakati mgumu kwenye biashara zao ni kwa sababu walikosea katika kuchagua aina ya biashara wanayopaswa kufanya na walishindwa kupata wazo sahihi la biashara ya kufanya.
Inawezekana tayari una mtaji wako na unajiuliza biashara unayopaswa kuifanya, kumbuka kuna watu walishawahi kuwa na mitaji mikubwa ya pesa ila kwa sababu walichagua biashara isiyofaa, walijikuta wamepoteza mtaji wao wote.
Kama wewe pengine unataka kufanya biashara na kikwazo kikubwa ni kukosa pesa, basi kupitia kozi hii utagundua kuwa unaweza kuanza biashara hata ukiwa na pesa kidogo au bila pesa kabisa. Kuna mambo ukiyafahamu, yatakupa mbinu na uwezo wa kufanya mambo tofauti na watu wengine.
Kozi hii nimuongozo wa hatua kwa hatua katika kuchagua aina ya biashara unayopaswa kuifanya na kukusaidia kujua wazo sahihi la kibiashara unalotakiwa kulifanyia kazi.
Course Features
- Lectures 37
- Quiz 0
- Duration Lifetime access
- Skill level All levels
- Language Swahili
- Students 1450
- Certificate No
- Assessments Yes