Curriculum
- 3 Sections
- 23 Lessons
- Lifetime
- Sehemu Ya Kwanza6
- Sehemu Ya Pili6
- 2.1Falsafa mbili (2) kubwa zinazoongoza Maisha ya Watu.4 Minutes
- 2.2Mambo Manne (4) Ya Kufanya Unapopitia Katika Maumivu.7 Minutes
- 2.3Vyanzo Sita (6) Vya Msongo Wa Mawazo (Stress).10 Minutes
- 2.5Nguvu Katika Kujisemesha Mwenyewe.7 Minutes
- 2.6Jinsi ya kuwa mwenye Furaha kila Siku.10 Minutes
- 2.7Fungua Ukurasa Mpya wa Maisha Yako.5 Minutes
- Sehemu Ya Tatu11
- 3.0Jinsi ya kuwa mwenye Furaha Siku zote.3 Minutes
- 3.1Mambo matatu (3) yanayokuibia furaha yako4 Minutes
- 3.2Tabia zinazo kuondolea furaha4 Minutes
- 3.3Athari ya mawazo kwenye furaha uliyonayo4 Minutes
- 3.4Vitu gani ambavyo vinapoteza furaha?4 Minutes
- 3.5Kwanini niwe na furaha kwenye maisha yangu?3 Minutes
- 3.6Athari za kukosa furaha kwenye maisha yako3 Minutes
- 3.7Namna Unavyoweza Kumilki Furaha Yako4 Minutes
- 3.8Namna hasira inavyopoteza furaha7 Minutes
- 3.9Namna ambavyo matukio na watu yanavyoweza kuathiri furaha4 Minutes
- 3.10Namna mwitikio wa furaha ulivyo kwa kila binadamu4 Minutes
Kwa mujibu wa shirika la afya ulimwenguni WHO, msongo wa mawazo ambao ni mvurugano katika akili hutokana sababu kadhaa kama vile mkwamo katika uhusiano, uchumi na mengineyo, huwakumba mtu mmoja kati ya wanne kwa nyakati tofauti.
Kwa takribani watu milioni 350 duniani wameathiriwa na msongo wa mawazo. WHO inasema, unyanyapaa dhidi ya wagonjwa, huzuia watu wengi kutafuta msaada.
Kama hiyo haitoshi, zaidi ya asilimia 75 ya watu wanaokabiliwa na ugonjwa huu katika nchi zinazoendelea hawapati matibabu.
Cha kusikitisha zaidi msongo wa mawazo ni chanzo namba mbili kwa vifo vya vijana wenye umri kati ya miaka 19 hadi 29.
Course Features
- Lectures 23
- Quiz 0
- Duration Lifetime access
- Skill level All levels
- Language Swahili
- Students 661
- Certificate No
- Assessments Yes