Mambo Matatu ya Kuepuka Unapokuwa Bado Kijana
Kama umewahi kusikiliza wazungumzaji wa motisha (motivational speakers) kwa muda mrefu, bila shaka utakuwa umewasikia wakisema “unaweza kuwa chochote unachotaka wakati wowote. Na ya kuwa, hakuna mtu aliye mzee sana kufanikiwa.” Wengine hutumia hadithi ya Colonel Sanders, ambaye alikua milionea