Je, unajua kwamba WhatsApp yako inaweza kuwa chanzo cha mapato makubwa kuliko unavyodhani? Karibu kwenye kozi ya kipekee, NGUVU YA WHATSAPP, inayoongozwa nami Daniel Masubo – Chief Inspiration Officer wa Elimika Fasta Academy! Mimi ni Mkufunzi wa elimu isiyofundishwa shuleni, ninafundisha maelfu ya watu jinsi ya kutumia teknolojia ya kila siku kubadili maisha yao. Katika kozi hii, utajifunza mbinu za moja kwa moja, zenye uthibitisho wa mafanikio, ambazo zitakusaidia kugeuza WhatsApp yako kuwa mashine ya mauzo! Uko tayari kwa mabadiliko? Hii ndio nafasi yako ya kufanikisha ndoto zako kupitia zana uliyo nayo kila siku!
Course Features
- Lectures 11
- Quiz 0
- Duration 1 week
- Skill level All levels
- Language Swahili
- Students 438
- Certificate No
- Assessments Yes