Mtegemea vya nduguye hufa maskini na vya kupewa hulemaza akili ni methali zinazotukumbusha kwamba utegeaji katika maisha haufai; ni sawa na kupumua kwa kutumia pua ya mwenzako. Hakiwezekani. Kufanya hivyo ni sawa na kusubiri viatu vya marehemu. Utatembea peku hadi miguu iote tende. Maisha yamebadilika sana. Unatakiwa ujue hilo. Tunaishi katika nyakati za ukizubaa unalala njaa hata kama kaka zako wana pesa! Habari za kabla bro hajaoa alikuwa mtu freshi, utazisikia kwa watu wajinga. Kusubili kulishwa ni sawa na kucheza Makirikiri wakati linapigwa Sebene!
DENIS MPAGAZE FULL PACKAGE (8 E-BOOKS)
TZS40,000.00
Categories: Business, Leadership, Life Hacks, Relationship
- Share:
Be the first to review “DENIS MPAGAZE FULL PACKAGE (8 E-BOOKS)” Cancel reply
Related products
-
DENIS MPAGAZE PACKAGE (5 E-BOOKS)
TZS25,000.00Original price was: TZS25,000.00.TZS10,000.00Current price is: TZS10,000.00.Jamii yetu imewachoka wasomi. Inawasema vibaya! Wasomi hawaheshimiki tena kama zamani. Eti wasomi wa siku hizihamna kitu. Yaani ni Tabula rasa. Ajabu sana. Mtu ametumia takribani nusu ya maisha…
-
WASOMI HURU GEREZANI – DENIS MPAGAZETZS5,000.00
Jamii yetu imewachoka wasomi. Inawasema vibaya! Wasomi hawaheshimiki tena kama zamani. Eti wasomi wa siku hizihamna kitu. Yaani ni Tabula rasa. Ajabu sana. Mtu ametumia takribani nusu ya maisha…
-
VIONGOZI WA AFRIKA -DENIS MPAGAZETZS5,000.00
Wahenga waliposema , “Vijana wanambio, wazee wanajua njia,” nilijiuliza kama wazee wanajua njia mbona wameipoteza Afrika? Maana Afrika inaviongozi wengi wazee. Baada ya tafakuri ya kina nikabaini unapokuwa kiongozi…
Reviews
There are no reviews yet.