Siku moja, mvulana mdogo alimwendea baba yake na kusema, Baba, nataka kujenga jengo refu zaidi katika kijiji chetu. Baba alimwangalia na kumwambia, acha kuangalia jengo refu. Inaanza na tofali moja, kisha mbili, tatu, na nne. Mvulana hakufurahia ushauri wa baba …
Kama umewahi kusikiliza wazungumzaji wa motisha (motivational speakers) kwa muda mrefu, bila shaka utakuwa umewasikia wakisema “unaweza kuwa chochote unachotaka wakati wowote. Na ya kuwa, hakuna mtu aliye mzee sana kufanikiwa.” Wengine hutumia hadithi ya Colonel Sanders, ambaye alikua milionea …